HomeAppsFinance
  • Current version: 1.4
  • Requires android: 4.1
  • Date published: Mar 14, 2019
  • Content rating: Everyone
  • Installs: 1 - 5
  • Jikwamue APK Jikwamue APK screenshot thumbnail 1 Jikwamue APK screenshot thumbnail 2 Jikwamue APK screenshot thumbnail 3 Jikwamue APK screenshot thumbnail 4 Jikwamue APK screenshot thumbnail 5 Jikwamue APK screenshot thumbnail 6

The description of Jikwamue

Jikwamue app inakuwezesha kutengeneza pesa kupitia mtandao kwa kuweka, kutazama, kusambaza na kualika marafiki.
Kila mara utumiapo App ya jikwamue kuweka video, kusambaza video, kutazama video au kualika maarafiki utajipatia points ambazo utaweza kuzibadili kuwa pesa.
Pesa hiyo unaweza kuitoa kwa njia ya huduma za fedha za mitandao ya simu mbalimbali kama vile MPESA, TIGO PESA, AIRTEL MONEY na mitandao mingine!
Pakua sasa app ya Jikwamue uanze kujikwamua kimaisha

What's New

Maboresho mapya